Biden aweka vikwazo kwa Russia, Ukraine yaendelea kushambuliwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Biden aweka vikwazo kwa Russia huku mashambulizi yakiendelea katika miji ya Ukraine huku mapigano yakiendelea kila upande kaskazini mashariki na kusini mwa nchi hiyo.

Mkutano wa kimataifa wa mazingira umemalizika nchini Kenya huku kukiwa na maazimio mbalimbali ikiwemo kukabiliana na matumizi ya plastiki.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari