Biden akutana na Rais wa Mexico katika Ikulu Washington

Your browser doesn’t support HTML5

Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Marekani na Mexico yalijadiliwa pamoja na masuala ya uhamiaji na mengine mengi wakati Rais Manuel Obrador wa Mexico alipomtembelea mwenzake wa Marekani katika White House.