Biden atangaza mpango wa magari ya umeme wa bilioni 174

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden atangaza mpango wake wa magari ya umeme wa bilioni 174 alipotembelea kiwanda cha magari ya umeme Michigan.