Rais Biden asisitiza FDA itafanya kazi kwa misingi ya sayansi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Biden amesisitiza Idara ya Chakula na Madawa ya Marekani (FDA) itafanya kazi maamuzii ya kisayansi katika kuidhinisha chanjo na siyo shinikizo la kisiasa.