Biden asema mfumuko wa bei ni kipaumbele katika ajenda yake

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati wananchi wa Marekani wakikabiliwa na mfumuko wa bei ambao umeathiri takriban bei ya bidhaa zote, Biden anasema atatoa kipaumbele kukabiliana na ongezeko hilo la bei.