Biden arikodi mafanikio kusitisha mapigano ya Israeli na Hamas
Your browser doesn’t support HTML5
Sitisho la mapigano kati ya Israeli na Hamas limeadhimisha sera ya mambo ya nje ya kwanza ya Rais wa Marekani Joe Biden na kuonyesha mwanga katika muelekeo wake wa kushughulikia migogoro ulimwenguni