Biden aridhia kutangazwa hali ya dharura Florida kufuatia ajali ya jengo
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Marekani ameridhia hali ya dharura huko Florida baada ya watu wanne kupoteza maisha jengo lilipoporomoka huko Florida, wakati watu zaidi ya 150 hawajulikani waliko.