Biden arejesha msaada kwa wakimbizi wa Palestina

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia wakimbizi wa Palestina linalokabiliwa na upungufu wa fedha linasema uamuzi wa utawala wa Rais Joe Biden kurudisha tena msaada wake wa fedha umepongezwa kuwa umekuja kwa wakati mwaafaka.