Biden apongezwa na viongozi wa dunia kwa kutangazwa Rais mteule

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati vuta ni kuvute zikiendelea katika siasa za Marekani juu ya kutangazwa Joe Biden kuwa Rais mteule bado viongozi wa juu wa Republikan wapinga matokeo, huku viongozi wa dunia wakiendelea kumpongeza Rais mteule huyo.