Biden apigania mswaada wa kulinda haki za kupiga kura

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani anashinikiza mswaada wa kuzuia majimbo kuweka sheria ngumu za upigaji kura akisema haki ya kupiga kura ni msingi wa thamani ya Marekani na inahitaji kulindwa vyema.