Biden aongoza dhidi ya Trump katika majimbo ya Georgia na Pennyslvania
Your browser doesn’t support HTML5
Mgombea urais wa chama cha Democratic Joe Biden aongoza kwa kura chache dhidi ya Rais Donald Trump katika majimbo muhimu yenye ushindani mkali ya Georgia na Pennyslvania,