Biden amtaka Trump kutoa amri ya kitaifa ya kuvaa barakoa

Your browser doesn’t support HTML5

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Demokratik atoa wito kwa Rais Donald Trump kutangaza amri ya kitaifa ya watu wote kuvaa barakoa.