Biden amshambulia Trump kwa kuzuia taarifa muhimu za kipindi cha mpito
Your browser doesn’t support HTML5
Rais mteule Joe Biden amemshambulia Rais Trump kwa kuzuia taarifa muhimu za hali ya kitaifa na kimataifa ambazo zinatakiwa kumfikia katika wakati huu wa kipindi cha mpito baada ya uchaguzi mkuu kabla ya kuapishwa.