Biden akubali kujadili mzozo wa Ukraine na Putin

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden amekubali kimsingi kufanya mazungumzo na Rais wa Russia Vladimir Putin juu ya mzozo wa Ukraine.