Biden aifikisha Bungeni miswaada ya mabadiliko ya hali ya hewa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden anasukuma miswaada miwili Bungeni ya kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa.
- Rais wa Ghana anakutana na viongozi wa kijeshi wa Guinea katika hatua ya kuondoa mvutano baada ya Mapinduzi, akishawishi kurejeshwa utawala wa katiba.

- Cuba yaanza kampeni ya chanjo ya COVID-19 kwa watoto wa miaka miwili hadi kumi.