Biden afanya ziara Louisiana kukagua uharibifu wa Kimbunga Ida

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden akiwasili Louisiana Ijumaa akijiandaa kutathmini uharibifu uliotokea baada ya Kimbunga Ida baada ya kuahidi msaada wa Serikali Kuu kwa majimbo ya pwani ya Ghuba na Kaskazini mashariki.
Athari za Ida zilileta mvua hazijawahi kushuhudiwa na kuua sio chini ya watu 50 kuanzia jimbo la Virginia hadi jimbo la Connecticut.