Biden aendelea kuongoza katika kura za maoni

Your browser doesn’t support HTML5

Uchunguzi wa maoni waonyesha Biden anaongoza kitaifa kwa asilimia 50 dhidi ya asilimia 46 alizonazo Rais Trump.