Biden aeleza mikakati inayotekelezwa na serikali yake kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden aeleza sababu ya hali mbaya sana ya hewa. Aeleza kuwa inatokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti inayofafanua athari za mabadiliko ya hali ya hewa na pia ziara ya Rais wa Marekani huko California kutathmini uharibifu uliyosababishwa na vimbunga vya hivi karibuni na kuahidi msaada wa serikali na kutuma ujumbe kwa taifa kuhusu miundombinu na nishati safi. Endelea kusikiliza...