Biden aeleza hatua iliyopigwa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Idadi ya waliochanjwa dhidi ya COVID-19 inatarajiwa kufikia asilimia 67 ifikapo Julai 4, huku Rais Joe Biden akieleza mafanikio yaliyopatikana katika chanjo ambapo idadi ya wanaokufa na kulazwa hospitali imeshuka kwa kiwango kikubwa maeneo watu waliojitokeza kuchanjwa.