Biden aanzisha mazungumzo na Xi kumaliza mivutano

Your browser doesn’t support HTML5

Mivutano ya kisiasa na kibiashara yaongezeka kati ya Marekani na China hadi kufikia Rais wa Marekani kuanzisha mazungumzo ya kidiplomasia na mwenzake wa China.