Biden aanza kutekeleza ahadi alizotoa kwa Wamarekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden amesema ameanza kutekeleza ahadi alizotoa kwa Wamarekani kwa kusaini amri kadhaa za kiutendaji ili kulisaidia taifa kudhibiti virusi vya corona na kuimarisha hali ya maisha ya wananchi.