Biden aanza kushughulikia uchafuzi wa hali ya hewa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden asaini amri kadhaa za kiutendaji kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa na kuirudisha nchi katika nafasi yake ya uongozi kusimamia mazingira duniani.