Benki ya Maendeleo ya Afrika yaahidi kuwekeza $ bilioni 10,000 katika uzalishaji chakula

Your browser doesn’t support HTML5

Benki ya Maendeleo ya Afrika yaahidi kuwekeza dola za Kimarekani bilioni 10,000 katika uzalishaji wa chakula katika mkutano wa usalama wa chakula nchini Dakar.

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetangaza utayari wake wa kuzisaidia nchi za jumuiya ya mashariki kwenye miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari