Benki Australia yalipishwa faini kwa kuvunja kanuni dhidi ya utakatishaji fedha

Your browser doesn’t support HTML5

Benki ya Westpac nchini Australia imekubali kulipa faini ya dola za Marekani milioni 919 kwa kuvunja kanuni zinazo dhibiti utakatishaji wa fedha na ufadhili wa shughuli za kigaidi