Barr atetea hatua ya serikali kuu Marekani kudhibiti maandamano Portland

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Sheria wa Marekani William Barr atetea hatua ya maafisa wa usalama wa serikali kuu kuingilia kati maandamano mjini Portland, Oregon.