Baraza la Usalama lakutana kujadili mzozo wa kisiasa wa Haiti

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lafanya kikao cha dharura kujadili hali ya nchini Haiti baada ya rais wa nchi hiyo kuuwawa.

- Idadi ya watu waliofariki kutokana na COVID-19 duniani kote yavuka milioni 4.

- Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma aanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani.