Baraza la Usalama la UN lasikiliza repoti ya hali ya Tigray

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana Alhamisi kujadili mapigano yanayo endelea katika jimbo la Tigray kutokana na ombi lililoletwa na Marekani.