Baraza la Usalama kujadili mgogoro wa Russia na Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, UN, linatarajiwa kukutana kwa mara ya kwanza kwa ombi la Marekani kuhusu mgogoro wa Russia na Ukraine.