Baraza la Maaskofu lawatahadharisha waumini Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Maaskofu Tanzania latoa taarifa ya jinsi Corona ilivyowaathiri huku ikihimiza tahadhari zaidi kuchukuliwa na waumini wake dhidi ya maambukizi ya maradhi hayo.