Baraza la Kupambana na Rushwa Duniani IACC lafikia maazimio kuelimisha jamii

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Kupambana na Rushwa Duniani (IACC) lenye ushirikiano na Transparency International limefikia maazimio kadhaa ikiwemo kubadili maadili na utamaduni kwa kutoa mafunzo na kuongeza katika mitaala ya shule elimu ya utawala bora.

Ungana na mwandishi wa VOA akikuletea repoti kamili kuhusu mbinu mbalimbali zilizofikiwa katika kupambana na rushwa ulimwenguni. Endelea kumsikiliza...