Baraza la Chadema lajadili rufaa ya wabunge 19 waliofukuzwa
Your browser doesn’t support HTML5
Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema wakutana Dar es Salaam kujadili hatma ya wabunge 19 ambao wamekata rufaa baada ya kufukuzwa na chama hicho mwaka 2020.