Bangladesh yajenga kituo cha kudhibiti COVID-19 kambi ya Rohingya

Your browser doesn’t support HTML5

Bangladesh yajenga kituo cha kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya COVID-19 kwa ajili ya wakimbizi wa Rohingya.