Bam Adebayo yuko tayari kushiriki mechi ya Miami VS Celtics Ijumaa

Your browser doesn’t support HTML5

Kocha wa Miami Heat asema Bam Adebayo ambaye alielekea kumia sehemu ya mkono amepata nafuu na atashiriki katika mechi ya timu yake na Celtics Ijumaa.