Balozi wa Italia nchini DRC auawa na waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Italia auawa na waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baada ya kupata majeraha tumboni yaliyotokana na kupigwa risasi baada ya msafara wao kushambuliwa na waasi.
- Jumuiya ya kimataifa yastushwa na idadi ya kifo kutokana na COVID-19 Tanzania.