Balozi aeleza sababu za Magufuli kuenziwa UN

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa aeleza sababu zilizofanya hayati Rais wa Tanzania kupewa heshima ya kuenziwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.