#BALonVOA2021 : Zamalek yashinda kombe la Mpira wa Kikapu Afrika (BAL)

Your browser doesn’t support HTML5

Muhtasari wa Fainali ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) ambapo timu ya Zamalek ya Misri imeshinda kwa pointi 76-63 dhidi ya timu ya US Monastir ya Tunisia, Jumapili mjini Kigali, Rwanda na kuibuka mshindi wa kombe la kwanza la Mpira wa Kikapu wa Afrika (BAL).