#BALonVOA2021 : Tunisia yaifunga Rwanda kwa pointi 87-46

Your browser doesn’t support HTML5

Muhtasari wa mechi kati ya USMonastir (Tunisia) na Patriots BC (Rwanda) katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) huko Kigali, Rwanda, ambapo jana kulikuwa na pambano la Nusu Fainali. Angalia yaliyojiri...