#BALonVOA2021 : Mashambulizi yaliyovutia zaidi katika mechi ya Madagascar na Tunisia

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya mashambulizi yaliyovutia wengi katika mechi kati ya timu ya GNBC (Madagascar) na US Monastir (Tunisia) katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika iliyochezwa Mei 17, mjini Kigali, Rwanda. Katika mechi hiyo Monnastirienne ilipata pointi 113-66 dhidi ya GNBC.