BAL 2023: Je, unajua nini mabingwa wa mpira wa Kikapu wa Mali wanachofanya hivi sasa?

Your browser doesn’t support HTML5

Mabingwa wa mpira wa kikapu wa Mali wanajiandaa nchini Abidjan kwa ajili ya msimu ya mpira wa kikapu Barani Afrika ulioanza mjini Dakar Jumamosi. Ungana na mwandishi wetu Sunday Shomari aliyekuandalia ripoti hii maalum...