BAL 2022: Morocco yaikabili Tunisia huko Dakar Ijumaa

Your browser doesn’t support HTML5

Ikiwa siku ya tisa tangu michuano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu kuanza huko Dakar Senegal mabingwa wa Morocco wanachuana na mabingwa wa Tunisia siku ya Ijumaa.

Na wakati wawakilishi wa Afrika Mashariki timu ya Rwanda itacheza Ijumaa na timu ya Dakar ambapo Rwanda tayari imeshinda mechi mbili ikiwa katika nafasi nzuri katika mashindano ya BAL yanayoendelea Dakar.