Bado kuna Warepublikan wanawafiki Trump kufunguliwa mashtaka
Your browser doesn’t support HTML5
Kuondoka Trump madarakani na kesi inayo mkabili vinadaiwa kukigawa chama cha Republikan, lakini bado kuna Warepublikan wanawafiki Rais wa zamani Donald Trump kufunguliwa mashtaka ya uchochezi.