Baadhi ya Warepublikan wanadai Trump bado anaweza kushtakiwa

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya Baraza la Seneti Marekani kumuondolea hatia Rais wa zamani Donald Trump akihusishwa na shambulizi la Januari 6 katika Congress, baadhi ya Warepublikan wakisema anaweza kuendelea kushtakiwa.