Baadhi ya Wamarekani wakaidi onyo la kusafiri sikukuu ya 'Thanksgiving'

Your browser doesn’t support HTML5

Mamilioni ya Wamarekani wakaidi tahadhari ya kutosafiri iliyotolewa na vituo vya kudhibiti magonjwa vikiwataka kubakia majumbani wakati wa sikukuu ya shukrani hivyo kusababisha hofu ya kuongezeka kwa maambukizi.