Baadhi ya miradi ya COVID-19 yatiliwa mashaka Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika ya kijamii Kenya yaitaka serikali kuelezea jinsi fedha zilivyo tumika kukabiliana na COVID-19 baada ya tuhuma za kufujwa fedha hizo.