Baadhi ya marais wasusia mkutano wa mabara ya Amerika

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa viongozi wa mabara ya Amerika umegubikwa na utata wakati baadhi ya marais wa nchi za Amerika ya kati na kusini wakisusia mkutano huo.