Baada ya Thanksgiving wasiwasi wa maambukizi ya COVID-19 waongezeka
Your browser doesn’t support HTML5
Maafisa wa Afya Marekani wasema kuwa baada ya watu wengi kusafiri katika sikukuu ya Thanksgiving, hofu yatanda juu ya uwezekano wa kuongezeka maambukizi ya COVID-19 nchini humo.