Athari za ukame katika hifadhi ya taifa ya Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Je, unafahamu kuwa Marekani imepitia miongo miwili ya Ukame magharibi ya Marekani? Ungana na mwandishi wetu Sunday Shomari kutufahamisha hali iliyopelekea hifadhi kuu ya taifa kupungukiwa na maji.