Angela anajiandaa kushiriki michuano ya Tennis ya Roland Garros Ufaransa

Your browser doesn’t support HTML5

Mkenya mwenye kipaji cha Tennis Angella Okutoyi, 17, aliyeweka historia katika michuano ya mwaka 2022 ya Australia Open kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushinda michuano ya vijana junior grand slam anajiandaa kushiriki katika michuano ya Roland Garros Ufaransa.