Amri ya kuvaa barakoa unapokuwa kazini yashika kasi DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Amri ya watu kutotoka nje usiku kuanzia saa mbili kamili yaanza kutekelezwa DRC wakati kila mfanyakazi anatakiwa kuvaa barakoa akiwa kazini.