Nchi 2 Ulaya zatoa amri ya kutotoka nje kudhibiti wimbi jipya la COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Nchi mbili zenye uchumi mkubwa Ulaya zinawataka watu kusalia nyumbani kudhibiti wimbi la pili la maambukizi na vifo kutokana na COVID-19.